Hapo sielewi kabisa tunaomba ufafanuzi
Kwasababu wapo wanaosema CMA wanahesabu kuanzia siku uliyopewa notice of termination
Wengine wanasema inahesabika tangia ile siku termination inatake effect
Kwa mfano notice of termination ilikuwa 18 July lkn imeandikwa termination will take effect on 18...
Naomba wataalam na wazoefu wa haya mashauri yanayoendana CMA mnisaidie hapa
NIna maswali matatu Naomba ufafanuzi wa kisheria
1. Ikiwa mwajiriwa yupo kwenye fixed term contract, mwajiri akamuachisha kazi CMA nitaenda kufile breach of contract, je kwenye kufile case CMA time limit itakuwa siku 30...
Naomba msaada wako wa kisheria
Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja
Ambapo ulianza mwaka jana,
Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures hazikufuatwa
Naomba kujua nikifungua shauri CMA...

Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria
Naomba msaada wako wa kisheria
Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja
Ambapo ulianza mwaka jana,
Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures...
Kama mwanzo ulipewa mkataba wa mwaka moja ukiisha bila kusaign mwingine na ukaendelea kufanya kazi maana yake huo mkataba umejirenew automatic, nisawa nakusema mkataba wako mpaka sasa umejirenew ni mara ya pili. niwajibu wako kujua ulianza kazi lini, unakoma lini na upige hesabu Stahiki zako.
Hatua na timing ya unfair termination ndo lengo langu,
Maana siwezi lazimishia nisifutwe kazi wakat wao washanikataa, ndomana wakanipa notice na sababu zao et taasisi inapitia changamoto ya kifedha wakati huo hatukaa, sikuitwa wala kuzungumzia hizo changamoto wanazo sema zaidi tu ya kupewa...
Kwenye kuchallange retrenchment process, sawa vip ikiwa sinaiman tena ya kuendelea na kazi kwa mfano mwajiri anaonesha nia ya kutonihitaji kazin ikiwa ni kunidai vitu vyote alivyonipa na ikiwemo zawadi imebidi nizirudishie na huwa hataki maongezi na mimi.
Kama nitazuia process ya retrenchment...
Shukran kwa elimu hii, naomba kuuliza sheria inasemaje muda wa kupeleka shauri CMA, maana tangia nipewe notice of termination ni siku 20 sasa zimepita, zimebaki siku 9 ambazo naendelea kufanya kazi kama notice inavyosema kwahyo muda wa kwenda CMA unakuwa mgumu.
Je nikisubiria mpaka siku ya...
Tatizo ni
Retrenchment
Nahudumu sector binafsi
Sikuwa na probation contract ispokuwa ilikuwa ni permanent contract ambapo wakati wa discussion ya huo mkataba tulikubaliana kwakua nimeanza na mshahara mdogo bc kila baada ya miezi sita kutakuwa na review.
Mkataba unasema utaanza kazi tarehe 2...
Nina permanent contract lakin unakipengele cha review kuhusu mshahara kila baada ya miezi 6, saiv nina miezi 8 tangia nianze Ajira.
Notice niliyopewa ni ya termination after 30 days.
Sipo kwenye chama cha wafanyakazi.
Tangazo la awali halikutolewa, ispokuwa nilipata notice ya termination siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.