Mkuu MM,
Makampuni makubwa yanapokuwa na transactions za kifisadi huwa account under other comprehensive income na other comprehensive expenses (kwenye P&L au statement of profit or loss and other comprehensive income kama inavyojulikana siku hizi) na baada ya tax expense wanapeleka kwenye...
Kwa kuwa wameona nchi haitawaliki, sasa ni dhahiri watawala wameamua nchi hii iwake moto. Hata kama ''liwalo na liwe'' ndo falsafa yao wanaposhindwa kupata consensus na kundi mojawapo la watanzania. Ama kweli Tz imekuwa nchi ya TISS na policcm.
Moto unaowaka Arusha unaweza kuenea nchi nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.