I can’t be that selfish 🥺, pia je akajakuaibika katika umri huu tena ikawa ndo arbaini zake? Si aibu yetu sote hiyo??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaaani mwenzenu nipo na hard time kweli, kama ni miaka ishirini nyuma na hajarudia tena na katubu haina haja ya kuyafukua kama ulivosema, ila tatizo ni hili: je kama anaendelea kisiri na kuharibu watoto wa watu wengine akiwa anaona hajashtukiwa miaka yote hiyo, mimi nishamjua nitalinda wanangu...
Kama ulivojua duh! Sisi watoto wa kike ndio tutatuhumiwa na kutengewa wakati mkosaji ni baba ila mateso society inakulazimisha uteseke kimya kimya manake hata mume unaogopa akijua atakuacha kwa kosa ambalo si lako ni la mzee
Sent from my iPhone using JamiiForums
wehoodie,
Duh jamani, na kweli jamii yetu wanajificha sana basi mtu ukigundua unafkiri uko pekeee mwenye tatizo hilo ,kumbe ndo ivo jamii yetu ni aibu kusema basi vinabaki ndani ya familia tu. Ila ni mtihani kweli duh siamini mtoto mdogo hana maziwa wala chochote anaaanzaje kumvutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.