Recent content by jenny prety

  1. jenny prety

    JamiiForums Tanzania Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Hiyo japanese sasa, mwemwee niliona gari la japanese nikiwa makete aisee full kuchoka usiombe upande hiyo gari mbeya to makete
  2. jenny prety

    JamiiForums Tanzania Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Kuna watu wa lake zone ndio uhakika wameitwa na wengine wamefanya oral leo
  3. jenny prety

    JamiiForums Tanzania Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    naomba kama kuna group la Dar zone mtu aniunge
  4. jenny prety

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna mtu aliyeomba nafasi za DSS NMB akatumiwa email kwa ajili ya Aptitude Test

    Sikuiona mimi nilikuwa nacheki kwenye all emails tu au inbox kawaida kama kuna jipya kumbe kuna new email kwenye spam sijaiona
  5. jenny prety

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna mtu aliyeomba nafasi za DSS NMB akatumiwa email kwa ajili ya Aptitude Test

    Yaani leo ndio najua kuwa watu walishafanya aptitude test jamani imekula kwangu
  6. jenny prety

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamu maslahi ya health & safety officer mgodini

    Habari wadau, naomba kufahamu mshahara wa health and safety officer mgodini na maslahi mengine, kuna mtu ni bank officer NMB (Dss) na amepata hiyo post ya HSo mgodini, je aende mgodini au abaki bank
Back
Top Bottom