Recent content by jema47

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtaani kwetu kuna mama anashindwa kuwakanya watoto wake ambao wanafanya vitendo viovu

    shauri tu kulingana na yaliyopo hapo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtaani kwetu kuna mama anashindwa kuwakanya watoto wake ambao wanafanya vitendo viovu

    nashindwa kaka inaweza ikawa kijana wake mmoja yupo hum na nikiyataja hayo ya hovyo yakanikuta kama yaliyomkuta kaka yangu mkubwa alipigwa mtaani na mke wake wakamchukua😔😔
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtaani kwetu kuna mama anashindwa kuwakanya watoto wake ambao wanafanya vitendo viovu

    tulichotaka tu uyu mama awalee watoto wake kama mama zetu wanavyotulea…sisi mbona tuna adabu na hatujawahi mkosea mtu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtaani kwetu kuna mama anashindwa kuwakanya watoto wake ambao wanafanya vitendo viovu

    mtaani kwetu ni kigoma ndanindani huku kaka😁😁
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtaani kwetu kuna mama anashindwa kuwakanya watoto wake ambao wanafanya vitendo viovu

    ni kama ulilazimishwa kufungua thread mkuu😑
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtaani kwetu kuna mama anashindwa kuwakanya watoto wake ambao wanafanya vitendo viovu

    Kaka shikamoo... Kuna MAMA huku MTAANI kwetu ni katili sana, WATOTO wake wanafanya mambo ya hovyo yakuumiza na yakumchukiza hadi MUNGU Cha ajabu haongei wala kukemea chochote yaani mpaka tunajiuliza au yeye ndo anawatuma? Na kuna wengine wanamsifia sana kwamba hakuna kama MAMA na wanataka...
Back
Top Bottom