Nitashukuru sana moderators kwa kulifikisha kwa umma. Na kama kuna lugha isiyo eleweka nitafurahi mkaiweka vizuri. Ikienda kwenye jukwaa la elimu, wengi hawapendi kusoma huko, ila likienda kwenye jukwaa la siasa, ninaamini mamlaka itaona na kufanyia kazi. Asante sana moderators.
Kwa heshima na taadhima, ninaandika kama mdau wa elimu nchini. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, waombaji wanashindwa kuwasilisha maombi yao kwa wakati. Wengi wanaishia hatua ya demographic information tu.
Wanapowasilisha (submit) hakuna mrejesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.