Recent content by jeisimz

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

    Suala sio misplacement na short sight. Hapo nimeelezea ni vipi matendo kama ubadhirifu serikalini unaweza pelekea inflation kwa namna moja au nyingine. Suala la kupanda na kushuka bei.. liko wazi ni market forces ila sio kama hamna vitu vingine vinachochea mabadiliko hayo. Ukiacha mbali market...
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

    Sawa ni vitu viwili tafauti ila vinaweza husiana. Sera za fedha zinaendeshwa na serikali na benk kuu. Hizi sera hubadilika mara kwa mara kutokana na mabadiliko ya kiuchumi. Sera za fedha zinazopangwa na serikali huwa zinaegemea aidha katika kutanua au kupunguza matumizi ya serikali na kodi. Sasa...
Back
Top Bottom