Recent content by jdracular

  1. J

    JamiiForums KERO Mburahati Barafu kwa Shebe, Wilaya ya Ubungo maji hayatoki tangu November ya mwaka 2025

    Eneo la Mburahati kwa shebe linaukosefu wa maji kutoka DAWASA tangu November ya mwaka 2025, tunaomba kusaidiwa wakazi wa eneo hilo. Soma Pia: Maji ya DAWASCO hayatoki tangu mwezi 10, 2025 hadi sasa Majibu mazuri ya kuridhisha hakuna engineer aliyekuja hadi sasa.
Back
Top Bottom