Recent content by Jazajuan

  1. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Ndoto zangu za kuendelea na masomo chuoni ziko hatarini kufutika baada ya kukumbwa na changamoto za kifamilia na kifedha

    Sikia dogo.. kwanza unatakiwa utambue hela ya boom ipo kwa ajili ya masomo na sio matibabu... Pili mafanikio hayapo kwa ajili ya watu wasio na msimamo... Tatu kupata kwako boom kusikufanye ujione wewe ni mwajiriwa... kumbuka huo si mshahara bali ni Allowance za kukufanya usione shule ni ngumu...
  2. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Mkopeshe wewe basi hiyo pesa
  3. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Kasome driving
  4. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Matokeo darasa la saba 2024, kuna kila dalili hujuma zinafanyika dhidi Shule za Kayumba

    Nyie ndo mnaoletaga siasa katika Elimu... kutwa kucha kutuharibia Elimu yetu.... Mipira siasa,Muziki siasa kila kitu siasa... ubongo wako ndo ulipoishia hapo!
  5. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Masomo yangu chuoni

    Hayo yote ulitakiwa uyajua kabla ya kuchukulia poa masomo yako... Mimi kwa upande wangu nakushauri. Soma hiyo Semester moja mwaka huu kwa mkopo kisha mwakani nenda katafute kazi Suma JKT umalizie chuo
  6. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NACTVET wanafelisha wanafunzi wa Clinical Officer makusudi, mamlaka husika naomba iliangalie

    Jipange upya ushafeli... Tatizo watoto wa siku hizi hamtaki kusoma kabisa
  7. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuomba Chuo Kikuu kwa kwenda moja kwa moja Chuoni?

    Kama anapenda MD aende Kairuki watampokea ila aandae pesa ya IST kabisa!
  8. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Je, akiomba mkopo Bodi ya Mikopo mwaka ujao anaweza kupata?

    Kigezo muhimu ni muda aliokaa tangu kumaliza hiyo Diploma... vyengine ni Mbwembwe tu... Anatakiwa asiwe amekaa zaidi ya miaka mitano tangu amalize chuo... Pia mwakani ni mwaka wa uchaguzi Hivyo possibility ya kupata mkopo ni Set ya Real numbers... Yaani 99.9999999%
  9. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kutengeneza akaunti ya ARIS naulizwa registration number

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Hapo kwenye jina la babu yako nimecheka sana.... Mimi nshazoeaga kutumia Sirname kweli Kizungu ni lugha ya kistaarabu
  10. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuomba Chuo Kikuu kwa kwenda moja kwa moja Chuoni?

    Huyo hajitambui... muache akae kwanza mwaka mzima mtaani... kisha mwakani atakuwa ameshafanya maamuzi nini asome!
  11. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) una maana gani?

    Mchakato bado haujaisha aendelee kusubili awamu ijayo
  12. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kozi yenye ajira kati ya Business Administration na Accountancy?

    Sawa ni makaratasi nakubaliana na wewe...
  13. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kozi yenye ajira kati ya Business Administration na Accountancy?

    Ushataja mtaji tayari... Yani baada ya kugraduate ni familia ngapi zitaafford kukupa wewe mtaji... 0.001% Tusiongopeane hapa ... Hii ni Tanzania almost 80% mpka 90% ni watoto wa wakulima(Kipato cha chini) Na tunasoma tuajiriwe kisha tuzikomboe familia zetu!!... Hii mitazamo ya kujiajiri ni...
  14. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Nakushauri... Huu mwaka tafuta michongo ya kufanya... Kisha mwakani Kwani siku hizi hakuna Fomu za uchaguzi... Mimi nadhani Watu wanaojitambua Huwa washafanya maamuzi kabla hamjafanya mtihani... Kwamba wataenda chuo au Form 5... Hiyo yote ni kuepuka gharama kama hizi kwani ungeenda Technical...
  15. Jazajuan

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kozi yenye ajira kati ya Business Administration na Accountancy?

    Kwahiyo mtu anasome accounts au BBA ili ajiajiri???... Kuna haja ya kukagua ninayebishana nae!... Nakutakia jioni njema!
Back
Top Bottom