Recent content by jaytemutz

  1. jaytemutz

    Swali kuhusu vigezo vya ajira ya udereva kwenye taasisi za umma

    Naomba kuuliza kwenye maombi ya kazi ya udereva kwenye taasisi za umma je leseni daraja c1 na c2 inakubalika hata kama kwenye vigezo vilivyowekwa ni C&E na kwenye mfumo wa ajira portal umeitwa kwenye usaili?
Back
Top Bottom