kawaida huwezi kuota bila kulala ,vile vile huwezi kuzifanikisha hizo ndoto kwa kulala. kwa vile pia ukilala sana utakula ulichokiota ni wewe uamke uzitimize hizo ndoto. kwenye ndoto pia kuna jinamizi na kuna njozi. njozi amka fanikisha na jinamizi simulia na kufuru.
1.kwa kweli nimevutiwa kutaka kuwa karibu na wewe ili nipate kujua mengine unayojivunia zaidi ya urembo.
2 kwa mwonekano wako unavutia sana na una hadhi ya kuwa mwanamke wa mtu .naomba uniruhusu tuzitumie jinsia zetu kwa maana halisi
3 ilivyo kawaida mtu hakatai wito ila hukataa anachoitiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.