ushuhuda wa dalili za mwisho wa dunia ni kutokea kwa manabii fake km hiv sasa,,,,mambo ya imani yapo kibiashara sasa,,,,,siku hiz dhambi hazipunguzwi kwa maombi au kutubu,,,pesa ndo imekuwa mbele kubariki utu,,,,,,,sikiliza mahubiri ya siku hizi,,mwishon mwa mahubiri lazima itajwe...