Naomba usaidizi kwa wakaazi wa namenyere kirando na Nkasi nzima.
Mimi natokea Kenya. Nipo na jamaa mmoja kutoka eneo ilo niliyetaja niliyekutanishwa naye na Babu mmoja kutoka Holili.
Jamaa naona ni kama alinilaghai nilimpea hela anisaidie kufanya kazi fulani mwaka wa 2021 lakini hadi wa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.