Recent content by Jax66

  1. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hahahah kwahyo humu hamna aliepigiwa ila mnasikia kwa watu tu kua wanapigiwa, kweli kazi ipoo🙇‍♂️
  2. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kwa wale waliokua nnjee ya makambi(uraiani) ngoma ni ngumu…..labda kama mbanga wako ni brigedia, meja ganeral, luten general au CDF mwenyewe.
  3. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mmh hii ngoma ni kama ya mwaka jana na mwaka juzi tu.
  4. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kama huna mbanga maji marefu hii ngoma ya mwaka huu sahau kabsa naskia ngoma ngumu kwelikweli, kuna dogo yuko mlale ananiambia wamechukuliwa watu11 tu na hao wote ni wamaelekezo pia naona kambi zingne idadi ya waliochukuliwa ni kama iyo sasa sijui itakuaje.
  5. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mwambie master ilore atoe lonja maana info zake zimenyooka hapindishi
  6. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Amna mkuu daah maisha tu yananichanganya mkuu…mtaani kugumu
  7. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Nimeomba mkuu….ndo nahangaika hapa kutafuta mbanga maana mambo ni magumu
  8. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Naskia wapo ambao bila hata mbanga wataitwa ila kweny usaili, ila uko kweny usaili kama huna mbanga kutemwa ni nnjennje😅
  9. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Luten(nyota mbili) uyo bdo ni mdogo hawezi kukupiganishia labda kama yoko pale pale ngome au awe anajuana na mkubwaa apo ndo ataweza kukupiganishia
  10. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Huu ndo ukweli👆……kwa wale mliopeleka barua pale ngome, kama utakua makin utaona kuna baadhi ya watu(wazazi) wanakuja na maelekezo na anampa maelekezo afande pale alaf afande anapokea hizo baasha anashika mkononi hazichanganywi na nyingine ( hao ndo wana mbanga sasa) nyie wengne zakwenu...
  11. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mm sikatishi mtu tamaa ila nilivyoskia ni kwamba hili tangazo ni kama la mwaka jana na mwaka juzi tu (siasa), kwa wale wa uraiani tutaishia kuwaona tu watu wakiapa hapo kihangaiko kama walivyoapa juzi. Jeshi linachukua vijana waliokua makambini.
  12. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Pengine safar hii ndo kutakua na bog la oljoro
  13. Jax66

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mm mwaka jana kwenye mabio sikua mtu wa mwisho wala kweny watu50 wa mwanzo pia sikuepo lakin baada ya mchujo wa watu3000 nilikuemo kwenye wale 400 waliobaki, waliokua wakwanza kweny mabio weng tu walitemwa….hizi kazi za majeshi bila kua na mmbuyu walahi utaishia tu kuona wenzako wakiapa kama hao...
Back
Top Bottom