Recent content by jastin22

  1. J

    SoC04 Mambo matano kugeuza siasa za Tanzania

    1. Kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia kijiji mbaka serikali kuu. 2.wanawake kupewa kipaumbele katika nafasi za vyama vya siasa katika kutenda haki ya mauzo kwa taifa lijalo. 3.kuwa na tume huru ya uchaguzi yaani wasimamizi wasiteuliwe na kiongozi...
  2. J

    SoC04 Tanzania ifanye haya kupunguza mfumuko wa bei nchini

    Mambo matano ya kuyafanya 1. Kuweka mkazo katika sera zake za uendeshaji wa mashirika binafsi kuzalisha malighafi za viwandani kama alizeti, miwa pamoja na mazao ya chakula. 2. Kupunguza ushuru katika vifaa vya kilimo kama uagizaji wa trekta za kulimia ili kuweka usawa na watu binafsi waweze...
  3. J

    SoC04 Serikali iwekeze nguvu katika sekta ya Kilimo ili kupunguza ukosefu wa ajira

    Kilimo ni moja ya sehemu ya ukuaji wa nchi na ni moja kati ya sekta iliyo ajili watu wengi katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea kama Marekani. Serikali ya Tanzania inahitaji kuwekeza nguvu katika sekta hii ili kupunguza ukosefu ya ajira hasa kwa vijana maana idadi ya vijana wenye ukosefu...
Back
Top Bottom