Recent content by Jary

  1. J

    Mabadiliko ya sekta ya elimu

    Elimu tunayosoma saivi ni kizuizi cha kufikirii na kwa wahitimu na nikikwazo cha ubunifu kwa vijana na hutengeneza vijana ambao ni tegemezii hawawezii kuona fursa katika jamii. Kuliko tuendelee kufundisha elimu ambayo inawajenga vijana kuajiriwa na kuwa tegemezii kwa taifa ni wakatii sasa wa...
Back
Top Bottom