Recent content by Japhet123

  1. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kusign pesa za heslb kwa wanachuo

    Sawa shukran Sawa shukran
  2. J

    JamiiForums Tanzania Namna ya kusign pesa za heslb kwa wanachuo

    Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa installment imekamilika niende ku confirm kwa loan officer apa ndo nataka nijue ili niende na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi kinatoa shahada bora ya udaktari (MD) kati ya hivi?

    Asante vp Sasa kati ya hivyo kipi unakipa nafasi ya juu kiujumla
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi kinatoa shahada bora ya udaktari (MD) kati ya hivi?

    1. HUBERT KAIRUKI - DAR. 2. KAMPALA INTERNATIONAL-DAR. 3. ST. FRANCIS - MOROGORO 4. ST. JOSEPH -DAR
  6. J

    JamiiForums Tanzania Gharama za ada kwa vyuo vya afya mwaka wa masomo 2024/2025 zipoje?

    Usha nijibu nilikua nataka degree
  7. J

    JamiiForums Tanzania Gharama za ada kwa vyuo vya afya mwaka wa masomo 2024/2025 zipoje?

    Thanks so much.umechambua vizur
  8. J

    JamiiForums Tanzania Gharama za ada kwa vyuo vya afya mwaka wa masomo 2024/2025 zipoje?

    Samahan vp kuhusu Kairuki university
  9. J

    JamiiForums Tanzania Gharama za ada kwa vyuo vya afya mwaka wa masomo 2024/2025 zipoje?

    Gharama za masomo kwa vyuo vya afya apa Tanzania zipoje kwa mwaka 2024/2025
Back
Top Bottom