Recent content by Japhet Lufungulo

  1. Japhet Lufungulo

    Simulizi za sasa

    Ahsante best wingi wa koment zenu ndio ujio wa episode zijazo nafurahi kusikia hivyo
  2. Japhet Lufungulo

    Simulizi za sasa

    SIMULIZI-JAYLAN MTUNZI-JAPHET LUFUNGULO SEHEMU-02 TULIPOISHIA Ni pale ambapo binti ambae mpaka sasa bado hatujamjua jina vizuri alisimama na kuanza kupungia magari yaliyokua mbele yake bila ya kujua watu watu wale Walikua ni wale waliomteka mda mfupi uliopita na yote ilikua ni sababu ya giza...
  3. Japhet Lufungulo

    Simulizi za sasa

    Usijali vipande vipo vya kutosha ila nachopenda ni komment zenu juu ya ulichokisoma na wapi nakosea basi unakua ni mwanzo mzuri wa kurekebishana mkuu
  4. Japhet Lufungulo

    Simulizi za sasa

    SIMULIZI-JAYLAN MTUNZI-JAPHET LUFUNGULO SEHEMU-01 Nø-+255680113178 MWANZO Ni majira ya jioni angani ambapo katika ndege moja ya kijeshi ndani yake walionekana wanajeshi wakiwa katika purukushani za kuvaa parachuti zao kwa ajiri ya kuruka chini,kwa maana ndege ile upande wa kushoto wa injini ile...
Back
Top Bottom