Sanctus
Nimekumbuka mengi hasa kwa mimi niliyekulia KSS kuanzia O - A level enzi za Dr. Mangi anatupakaa dawa ya fangus kwa sisi tuliotoka bara!!
Nimemkumbuka mpaka marehemu Elias Nyiti(RIP), mgomo wa 1984 enzi za Msaki, Mama Nyiti,Mbawala(RIP),Mwenegoha,Lwebandiza,Masinde(RIP) na wengine...