JTC ni kampuni ya kitanzania inayojishughulisha na ujenzi wa Tarazo.
Tarazo ni finishingi inayofanyika ktk sakafu au kuta za nyumba/jengo km zilivyo tiles/vigae, tarazo ni mchanganyiko wa vipande vidogo vidogo vya marble, granite, qualtzite, cement/white cement na malighafi nyengine kupata...