Recent content by janp

  1. J

    Natafuta mchumba(mume)

    mume bora ni we mwenyewe utakavyo amua ishi naye anaweza akawa wa kanisani kwenu na akakushinda ubora wa mtu anajua Mungu aliye muumba
  2. J

    Natafuta mchumba(mume)

    we unafikili kwa umri uu sija wai funga? adi siku tisa bila kula Mungu amfanyii mtu kazi unafanya kazi yako
  3. J

    Natafuta mchumba(mume)

    ukisema dini kila mtu anawe kuwa na yake
  4. J

    Natafuta mchumba(mume)

    wazee ni walio staafu
  5. J

    Natafuta mchumba(mume)

    ukifikiri unaitaji mke lazima uwe kichwa cha familia umtunza mkeo kama una kazi nani ata mtunza? lakini pia kama unataka haki sawa pia sawa tu mi ntakutunza ila usije lalamika
  6. J

    Natafuta mchumba(mume)

    ahsante
  7. J

    Natafuta mchumba(mume)

    natafuta mchumba atakaye kuwa mume awe afanya kazi au biashara awe na miaka 33 adi 38. awe mrefu nc 6 mimi nina miaka 31 awe mkristo
Back
Top Bottom