Recent content by jamz

  1. J

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    mbona sijibiwi? Kama sistahili kujibiwa mniambie nikadai pesa yangu ninunue king'amuzi kingine.
  2. J

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mimi nimenunua king'amuzi cha tshs 59000 kama siku sita zilizopita. nimeunganisha kila kitu sawa na maelezo yaliyopo katika "user's guide" lakini hakuna kinachoonekana. Nikienda ktk signal status inasoma zero. Nifanyeje au tatizo ni nini? Naishi Tandika.
Back
Top Bottom