Kwa bei mkuu ziko reasonable na zinategemea na size ya kamba ,urefu . Kuhusu soko la nje bado nipo kwenye research bado sijapata. Ila kama una muongozo wowote nitashkuru ukiniongoza.
Wadau habarini za kazi. Bado natafuta wateja wa kamba za katani.
Na pia naombeni msaada kupata kufahamu kuna wachina kwa dar wananunua sana kamba za katani. Mwenye kufahamu hili naomba anipatie link.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.