Recent content by jamesmisana

  1. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    kilaza usiye na uzalendo xmonster wewe araaaaah
  2. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    vijana acheni kulalamika system inawafuatilia muda wowote unaweza wekwa reserve na malipo yako kupungua sababu ya mambo ya hovyo yasiyo ya uzalendo. kua mzalendo kuna maisha baada ya sensa mzee.
  3. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    hahahaha nashukuru mimi nimepanda cheo kutoka ukarani mpaka usimamizi wa maudhui na pia nitakua TEHAMA wameniona nipo vyema kote.
  4. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    kifungo kinakuhusu mkuu labda uwe na sababu zaidi ya msingi mfano mimi ramani imesoma pale pale tu kwasababu ni mtalaamu wa mambo ya survey nyie mnakosea sanaa mnavyo save na kuchukua gps location ,,mnaharaka sanaaa unatakiwa ukae sehemu ile ile nje kwa muda kidogo ili location yako itulie ndipo...
  5. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    dodoso la jamii ni siku mbili kabla ya kuanza zoezi la sensa. dodoso la jamii watachagulia baadhi kwa kila mtaa kudodosa dodoso la jamii.
  6. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    kila mtaa atachagulia wa kwenda kudodosa dodoso la jamii na msimamizi wa maudhui wako ndiye atakaye teua mtu wa kwenda kudodosa dodoso hilo.
  7. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    na kesho tunalipwa hela jiandaeni na pepa pia na malipo ya posho ni kesho kwahiyo wala msijari. TUUTANGULIZE UZALENDO KWANZA. KAZI HII NI YA KIZALENDO.
  8. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    vijana tumepata kazi alafu siku ya kwanza ni kuhoji masuala ya posho,tusubiri hata week 2 tu haina shida serikali iko makini tutangulize uzalendo kwanza. SENSA KWA MAENDELEO,JIANDAE KUHESABIWA. SENSA OYEEEEEEEEEE!
  9. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    hamjaanza na somo la uzalendo kwanza na msitangulize pesa mbelee,pesa inakuja baada ya uzalendo kuutanguliza.
  10. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    hahahahaha utakula tunda kimasihara kunguru wa manzese ,sema umepotea sanaa kiongozi au mshaitwa interview dodoma?
  11. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    MATOKEO YASHATOKA NAONA GROUP LINATAKA KUFA KABISAAA ,MAANA TOKEA MWEZI WA 5 TULIKUA PAMOJA NA UCHANGIAJI ULIKUA MKUBWA SANAAA LAKN SAHV KUMEPOA SANAA,WALIOKOSA JAMANI MSIKATE TAMAAA YOTEE KHERI TU PIA KUNA NAFASI ZA RESERVE MSIKOSE KUZIVIZIA KATANI AU KWENYE SEMINA.
  12. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    makarani 3333 wewe ukikosa basi haikua ridhiki yako tu maana ni idadi kubwaa sanaa hyo.
  13. jamesmisana

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    vipi umechomoka,,wale wa temeke vp huko??
Back
Top Bottom