mpaka sasa nina miaka 35 na sijaoa ingawa natamani sana kufanya,nimedanganywa na wadada wawili,kila mmoja kwa wakati tofauti,sasa naogopa kabisa sasa sijui nifanyaje na kuoa nataka lakini namtafuta mkweli na mwaminifu
Nionavyo mimi ni busara tutumie jukwaa hili kuelimishana mambo ya msingi ya maisha badala ya mizahaa na mambo yasiyo ya kujengana,tuzungumze mambo ya kiroho na mwili pia ili mradi msomaji ajegwe na shida pia zijibiwe hapa jf,THANKS 2ALL
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.