Huwezi niteka ama kunifanya lolote kwa kuwa wajua vyema jinsi gani yule wa Maka hana kitu na hatokuwa na kitu milele, hadi mtaalumu nguruwe alimfanyaje???
Lakini Yesu kiboko yenu, hatuna cha kusema ni kweli kwa kuwa huwa hatumtetei Yesu ila anajiteteaga mwenyewe, ngoja niwaacheni mumtetee...
Sikatai manabii wa uongo wapo ila ninachoshangaa ni kwamba hamjajuwa tu hadi leo ya kwamba kitu cha thamani ndicho wale matapeli hujaribu kutengeneza feki yake ila kama hakina thamani hawawezi kutengeza feki yake. Kwa hakika huwezi pewa dola feki za Zimbabwe ndani ya Tanzania lakini dola feki za...
Hahahahah, nishamaliza kabisa. Hawa watu ni wazuri kwa kile wameumbwa kwa mfano wa Mungu lakini ni wana mioyo ya visirani, umwagaji damu na ujinga wa kupulizana wakikutana kwenye nyumba zao za ibada huko ili tu wahahakikishe dunia nzima wanakuwa peke yao.
shida sio kuwa wenyewe maana kama...
Jana usiku nimeona hii hoja kwenye mtandao fulani wa kijamii, inawezekana kabisa sina hakika wapi ilianZia ama nani haswa mwandishi ila ninaona huyu jamaa ni mtu mkweli na mtafiti sana. Ingawa hauusiani na mahakama ya kadhi kwa direct ila naona ni uhalisia wa chanzo cha hizo matatizo duniani...
Mkuu, nyie mnapatikana mikoa 5 th kwenye nchi hii tena ni baadhi tu ya maeneo, Dar, Znz, Mtwara, Lindi, Tanga na maeneo machache ya Kigoma. Maeneo mengine ya nchi ni kama hampo kabisa.
Sasa ukisema mko 60% inaonesha kabisa nchi hii hauijui ila baada ya kupewa ofa ya kikombe kimoja cha kahawa...
Kweli wewe ni Muislamu haswaa, maaana ni kawaida sana kwa nyie kumsaidia Mungu wenu kumtetea kwa makelele ma fujo nyingi kwa kuwa hakika mnajua ya Kuwa Damu ya Yesu na Jina la Yesu linajitegemea lenyewe na nguvu kibao ya kumtimua Shetani na malaika Zake mnao waabudu
Unahisi kati ya wewe mwenye swali hili na uliyemuuliza yupi atakuwa alikuwa anajisaidia au kanywa viroba?
Acha maneno ya kebehi, Bibi hoja kama unahisi unayo? Boko haram
Akhsante Mkuu, naona hiyo barua imekata mzizi wa fitina kbisa na kutuweka sawasawa sasa. Ninaona umetoa hoja nzito hata hawa waliokurupuka kuandika hoja hii iliyopakwa rangi nyeupe juu ya chuma chenye kutu wamepata aibu ya kutosha na sasa midomo kwisha fungwa na wanajaribu kufikiria watoke vipi...
Nimegundua mchawi wa Amani yetu ni nyie ambao baaada ya kucheza bao na kunywa kahawa mnatiana ujinga wa Kadhi kadhi. Hao Kenya wenyewe wanaionea wivu amani yetu, mkitaka hamieni kule mkahukumiwe na hao wa huko, huku kwa Mwl. J. K. Nyerere paacheni kama alivyopaacha.
Wakristo tutaendelea kuwa na...
Nayoyataka sio mambo ya kidini ama mambo ya kibinafsi kiasi hicho, hii ni nchi ya wote na wewe ni mtu unayejua fika matatizo yanayosababishwa na dini afu wajiona mjanja kweli kutaka kutupeleka huku,
Hebu zinduka na acha UJINGA
Unataka ingiza mahakama za Kadhi kwa kigezo kipi cha msingi? Hata watoto wadogo wanajuwa mahali udini mwingi ndo mambo ya kipuuzi yankuwa kibao.
Leo waeza kuwa na umri mdogo lakini Mungu amekupa neema ya kuishi Tz kwwnye amani kiutaifa but sasa wasema unataka nchi kwenye katiba kuwekwe Mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.