Yeyote anaejua tiba ya kuuma nyonga/kiuno ( maumivu makali ya kiuno) ama amewahi kuugua na kutibiwa ugonjwa huu naomba msaada maana nasumbuliwa kwa takribani miaka miwili. Nimetibiwa kwenye hosipitali kadhaa za mkoni Mby na hospitali za kichina, nimechomwa sindano kiunoni zisizo na idadi lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.