Recent content by Jamaly Ally

  1. Jamaly Ally

    Natafuta kazi popote

    Wadau natafuta kazi yeyote mimi kijana. Nina elimu ya kidato cha sita na pia nina mafunzo ya JKT pamoja na Cheti ChaJKT Naombeni mnisaidie kwani nahitaji kusoma mwakani
  2. Jamaly Ally

    Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

    Wadau naombeni msaada kuhusu vipele hivi vinanyonitokea sehemu za siri maana nimetumia aciclovir zote za kupaka na kumeza lkn bado vipo.
Back
Top Bottom