Recent content by Jamaludin

  1. J

    JamiiForums Tanzania KERO Taneco Kahama Mtaua Watu

    Habari za mida hii wanajf? Napenda Leo nilete tatizo ambalo limekua kwa kipindi sasa na TANESCO hamna action walioi-take. Mimi no mkazi wa Kahama Municipal, Ukiwa Shunu kuja huku Hongwa Tanesco wamezidisha kero na hatari kwa wakazi wa eneo hili. Toka waweke nguzo na nyaya zipo chini nawakati...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    🤣🤣🤣😂😂, Kiti cha bar tena? Hamna nikiti fulani hv, chakuscroll, sema huenda back side yake
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Ahsante sana Abou ilham.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Ahsante, kuna point nimeichukua hapa, nashkuru mkuu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Nimekuelewa, thanks for your time.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Umeishi sehem moja, na akili yako imedumaa, kwahio nitoke Musoma niende Dar Kariakoo kubeba mizigo? Soma thread uielewe.sijaomba ushauri wa kazi gani nifanye.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili. Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu ya mgongo upande wa kushoto, chini kidogo. Hali hii inanipelekea kutoshika vizuri kwa muda mrefu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania ifuate mpango na msimamo huu kusaidia kudhibiti madhara ya mitandao ya kijamii kwa afya ya akili ya watoto

    Australia inapanga kuzuia watoto wenye umri chini ya miaka 16 kuingia kwenye mitandao ya kijamii ili kulinda afya ya akili ya vijana, huku waziri mkuu Anthony Albanese akisema kuwa mitandao hii imekuwa na athari mbaya kwa watoto na kwamba ni wakati wa kuchukua hatua. Makampuni ya mitandao ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji na Umeme Kahama

    Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama. Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika mara kwa mara bila taarifa maalum, hadi mara 5-9 kwa siku. Hali kadhalika, huduma ya maji pia...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hii Barabara ya (KAHAMA) Mnazi mmoja - Lugera Mbona mashimo?

    Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Solving a Partial Differential Equation

    Question: Solve the one-dimensional heat equation with Dirichlet boundary conditions: Weka solution yako hapo acha blabla, huwezi usitumie maneno ya hovyo waache wenzio wa comment.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Leo njoeni wa Form 6 hapa tusolve hili.

    Sawa
  13. J

    JamiiForums Tanzania Leo njoeni wa Form 6 hapa tusolve hili.

    Ausio 🤣🤣🤣🤣
  14. J

    JamiiForums Tanzania Leo njoeni wa Form 6 hapa tusolve hili.

    😂😂😂🤣 nimeipenda 'yellow buses'
  15. J

    JamiiForums Tanzania Leo njoeni wa Form 6 hapa tusolve hili.

    Huhitaj samalization mkuu
Back
Top Bottom