Recent content by Jamal Mwenza

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waliopata mtuambie Maisha yanaendaje

    Mimi nimempata humu ndani na penzi liko motomoto kweli na mtoto kajaaliwa roho swagi kabisa, wanaosema huwezi pata mke humu wajitafakari upya... Wapo wapenda fursa ila wapo wa ukweli nashukuru sana uwepo wa JF
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mke nakutafuta jamani

    Nataka kuandika mrejesho nashindwa mkuu lakini nishapata ambae tumeelewana na penzi liko moto moto, Dua zenu tu wadau milango nimeifunga.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mke nakutafuta jamani

    Hamba tofauti yoyote mtaani na huku. Siwezi mfata maana yeye hnifata Nitakuwa namkosea, yeye akipendezwa atanitafta
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mke nakutafuta jamani

    Dada kwani mtu mpole anakuwa sio charming... By the way shukran
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mke nakutafuta jamani

    Haya bro
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mke nakutafuta jamani

    ALHAMDULILLAH NIMEMPATA NILIYEKUWA NAMTAFUTA NAYE AMENIPATA SITAFUTI TENA MKE WAPENDWA, NIMEFUNGA UKURASA
Back
Top Bottom