Recent content by Jamal mbaraka

  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Hahaha you're going too far ndugu,mbali Sana Huko,mnavopenda vita wenzenu wameziishi so msiwe hvo,acheni nchi zipeane ushirikiano
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    That's all your wishes kwake ila tangu amekuwa madarakani it's about 23 years now,amekutana na hayo mara kibao Tena makubwa,ameyahimili kwakuwa anawapambania wananchi wake,muache I bwana
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Hahaha,skia sasa,nikilijua Hilo litafaa nin? Haya wa Samia au Ruto au Museveni wamesomea wapi? What's the important point in that? Mimi nafahamu mpaka Ian Kagame ni mkuu wa kitengo Cha ulinzi wa Baba yake,yupo Ange na Brian,ila hyo sio point kwa sasa,stop HATE SPEECHES
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Mwamba Hana chuki Wala hajakufanyia lolote,ila tu kwakuwa kaifanyia nchi yake makubwa from hell up to near to heaven ndo mnamchukiiiia,dah,kwani anachofanya hakuna wengine wanafanya? Unafahamu Marekani au Russia au China au wengine zinafnya maovu mangapi kuimarisha Dola zao? Unafahamu damu kiasi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Uzuri ni kuwa nimeandika unachokielewa Haina haja ya kutafsiri,so Mimi kuwa mtusi or whatever,hainihusu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    You see?? Hapo ndo nmejua sasa kwamba you are pushed by your ignorance kuhusu huyo jamaa,mtusi ni nan? Mtu au mnyama? Af PAKA ndo nin?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Ok,whatever you wish,ila tambua wengine tunayo experience juu ya hayo kwahiyo hatuwez kukubali mawazo ya upotoshaji ya kijinga yaliyojaa chuki yapite Bure,hata kama hatutaondoa hizo chuki mioyoni mwenu ila mjue sio wote tunazisapoti,tunaujua ukweli kwamba this World has a lot of majanga Ili...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Wewe ndo unayeelewa,good,ila jua mi sio shabiki wa chuki za kijinga,mnayoongea yote hamna facts Bali kushikilia takwimu za wenye chuki kama nyie,go on,and get what you are after baada ya hzo chuki
  9. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Bado naona unajibu kihisia na hisia zenyewe zimejaa chuki,so..go on,elewa utakavyo maybe mpo katika mawazo ya hao kujua kilichopo
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Kama unavotaka tuamini huo upuuzi ulioandikwa?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Exactly,hyo point kbsa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Ni mawazo yako pia,but he has put the country at a better level kuwa admired na wengi so sishangai,af ikitokea hvo unavomuombea utafaidika nin?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Acheni chuki za kijinga,unayoongea yamejaa chuki ubinafsi na hayana uchunguzi wowote Ili kuaminiwa,so acha uongo,this is an international affairs issue na ni ziara ya kawaida
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Mmmh watanzania bwana,kwana wana ugomvi?? Mnapenda kuendekeza chuki za kijinga Sana,wanasiasa hao waache wauchezeshe mchezo wa siasa
Back
Top Bottom