Hongera Pukudu,wana Shinyanga jipangeni vyema kwa msimu ujao maana bila shaka kwa kila timu kucheza mechi thelathini katika miji ya Mtwara Mbeya Morogoro Dar Tanga Songea Bukoba na Shinyanga si kazi ndogo.
Hapana Mphamvu hii ligi inaitwa Regional Champions ligi RCL,it is a fourth tier league baada ya ligi kuu VPL,Ligi daraja la kwanza FDL na ligi daraja la pili SDL,hizi ligi tatu ni za kitaifa.Washindi watatu wa RCL watapanda daraja na kuingia ligi taifa daraja la pili SDL.Washiriki ni vilabu...
@gfsowin Katiba zetu zimepunguza mianya ya wakorofi wachache kutibua utulivu kwenye vyama vya mpira.Ndio maana kipindi kile waliojaribu kumwondoa Mh Rage madarakani walikwama.
Hili la timu kuhujumiwa linahusisha upangaji matokeo yaani match fixing.Hili tunalipiga vita na likibainika adhabu ni...
faiza foxy FIFA wana taratibu zao ,nyasi bandia kabla hazijawekea kuna commitments inabidi zifanywe na wamiliki wa viwanja.Nyamagana na Kaitaba wamiliki ni Halmashauri na ndio maana umekuwepo urahisi wa kukubaliana na FIFA.Next target ni Moshi uwanja wa St George wauza mitumba wakitoa nafasi...
elezea wapi tumefeli na nini yalikuwa matarajio yako.Program zetu kwa kulingana na kipato cha TFF tumeziweka wazi na zinajulikana.U17 mwaka 2017 Madagascar tunaandaa kikosi sasa cha U15,U17 2019 fainali za Afrika tumeomba uenyeji na kikosi tunaanza na U13 June.Pia kila mkoa kuwa na youth program...
Kandukamo 1 wakimataifa Kipaji Halisi nini hasa kinaongelewa hapa? Lini TFF ilitoa tamko la kukubali ku host? Lini CECAFA walitoa orodha ya vilabu shiriki? maana wao ndo wenye mandate.Tuwe tuna deal na facts please.
El Toro ahsante kwa hii taarifa.Jana nilijua tp mazembe walicheza ila sikuwa na taarifa za hili tukio.Mara moja tunawasiliana na klabu lubumbashi tujue nini kinaendelea kwa kijana wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.