Recent content by Jamaini

  1. Jamaini

    Habari zenu

    Nilipimwa na nikapewa hizo dawa
  2. Jamaini

    Habari zenu

    Nipo Dar kwa sasa
  3. Jamaini

    Habari zenu

    Means sitipona au😭
  4. Jamaini

    Habari zenu

    Nilitumia kuna dawa flan iv sijui inaitwaji ya tube ya kutumbukiza(cream) lkn unaeka kwa ndan sio kidonge lkn Pamoja na dawa za kumeza
  5. Jamaini

    Habari zenu

    Dawa ipi
  6. Jamaini

    Habari zenu

    Jmn mim naomba msaada nilikua nasumbuliwa na fangasi za ukeni, nikapewa dawa nkatumia na sasa tatizo limeisha Ila saiz natwok na maji meupe ukeni hayan muwasho wala hayana harufu mbaya ya kukela Ila hayo maji yakikaa kweny chup kwa mda yana badirika na kua manjano🤢 Naomba kujua ni nn hii au...
  7. Jamaini

    Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

    Nina tunywel tufup..natak kuwa na nywele ndefu natural...lakn sijui nifanye nn
Back
Top Bottom