Recent content by JALUO

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mguu wa kulia unavia maji. Ugonjwa gani huu?

    Wadau Mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa mguu wa kulia unavia maji inatengeneza kitu kama kidonda pembeni ya mguu, hakiumi ukitumbua hutoa majimaji kama usaha. Hospital walinipa tube nipake nadhani za fungus Ila hakuna suluhu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upigaji kura kituo cha Kisauke B, Madale: Mawakala wa vyama wazuiwa kuingia kwa kukosa barua, CCM wadhibitiwa na Wananchi wakitaka kupewa upendeleo

    Mbona chadema na wapinzani wamefunzwa tangia awali? Leo n Mwendelezo tu
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Kura zimeonekana? Au n blabla?
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Choma tupa kuleeee....sasa ushahidi utasaidia nini?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

    Kupata 50% si kazi rahisi....watu wengi hawajajiandikisha, wapinzani wengi walijiandaa, usidhani kijani n wajinga
  6. J

    JamiiForums Tanzania Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

    Bado umelala?
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Sasa walilalaje Nyumbani? Hawakujua hayo? Nyie nao washamba tu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Hili la mtandao kuwa dull haliwezi kutunyima Kura sie wakijani?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali Sana upande wa kulia wa tumbo chini ya titi

    Damu kubwa wakaangalia utendaji kazi wa figo na damu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu masuala mbalimbali kuhusu ugonjwa wa Homa ya ini (Hepatitis B)

    Ndo ipi hiyo ya Mkuu wa wilaya?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali Sana upande wa kulia wa tumbo chini ya titi

    Naomba namba yako
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu makali chini ya tumbo upande wa kulia

    Bado kabisa ata Leo nliemda hospital bila mafanikio
  13. J

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali Sana upande wa kulia wa tumbo chini ya titi

    Naomba ushauri, halafu hizi kg zimegoma kupungua nlikua na 89 hardly nimerudi 88 maji ya kunywa pia kuna Muda najisahau....Ila untayoni pia maumivu na Kwa viganja vya mikono rangi inakua kama moayiko
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali Sana upande wa kulia wa tumbo chini ya titi

    Kg 88 Mwanaume, asilimia 90 nakula wanga na matunda miguu pia inauma untayoni na mikono inapoteza rangi viganjani
Back
Top Bottom