Recent content by Jake lema

  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Amka Afrika, amka mama!

    Karibuni kwa maoni na ushauri, namna gani ambavyo Afrika tunaweza kujiendeleza kiuchumi bila kutegemea hao wanaojiita ni marafiki zetu kumbe kiuhalisia wamekuwa ndio chanzo kikubwa cha kutokuendelea kwetu. ili huu ujumbe uwe chachu ya maendeleo ya waafrika wa leo na wajao, kwa maana tusipoamka...
  2. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Amka Afrika, amka mama!

    Kwanini unalala bado? Kwanini unalikumbatia shuka bado? Kumekwisha kucha, jua limekwisha chomoza. Amka sasa eeh mama Afrika maana majukumu yako ni mengi. Watoto wako wanalia njaa zinawauma, wanalia majirani zao wanawaonea, kwanini usiamke uwafariji wana wako...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Naitwa Mafanikio: Unanipenda sana lakini wewe ni mnafiki

    Ama kweli unanipenda sana, ama kweli unaniwaza sana, ama kweli unanitafuta sana lakini unawaza mbona hunipati? Nimeamua kutoka mafichoni unapo nitafuta nikujie kwa maana kiu yako ni kubwa sana. Baada ya kuona jitihada zako, leo nimependa nikueleze ukweli wote kwa maana unanipeda sana. Unapenda...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SGR connection between Mwanza and Kampala on the cards

    bravo Tanzania
Back
Top Bottom