Ni kuhusu masomo yangu!
Nimejawa na hofu inayonifanya niishi bila raha yaani natetemeka kila wakati,moyo unauma na wakati mwingine nashindwa kupumua vizuri!
Hofu yenyewe inanifanya ninachokisoma sikielewi yani nashika daftari tu huku naliangalia,mawazo mengi ya kufeli huko mbeleni yanakuja...
Msaada tafadhari,mi ni mwanafunzi nahitaji nijiamini katika masomo yangu ili nifanye vizuri
mara nyingi huwa najawa na hofu na kujiona nishafeli ninapomuona mtu kasoma topic ambayo mi sijasoma
hofu hii huwa nipo nayo muda wote na muda mwingi huwa nafikiria tu nashindwa hata kuchukua hatua na...
jamani wana jf mimi mpaka sasa sijapata joining instruction ya shule ninayoenda(songea boys) naombeni mwenye joining instruction yake anisaidie au mwenye link ya joining instruction ya hii shule anisaidie
jamani wana jf,tunawashukuru wale wote ambao kwa wakati wote wamekua wakitupa ushauri mzuri kuhusiana na masomo japo si wote tafadhari msituchoke, naomba mtu yeyote mwenye notes za pcb pamoja na maswali atusaidie kama anayo basi atuandikie link HAPA tuyadownload na kuyaona ili tuyatumie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.