Recent content by Jajojo

  1. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    Mheshimiwa punguza hasira! biashara ni matangazo! kuwa muungwana! tupo pamoja kujenga taifa letu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    Mheshimiwa kwanza napenda nikushukuru kwa mojo wa ushujaa! ushauri wako na mawazo yako yamefika. unahitajika sana kwenye taifa letu. Endelea kuwa na moyo huo.
  3. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    Mheshimiwa tafadhali ukipata nafasi pitia tuvuti yetu ina picha zetu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    Jajojo sembe/dona ikoapproved, ndio maana tuko sokoni. Jaribu kuwa muungwana heshimu kazi za watu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    mheshimiwa jaribu kuwa muungwana, heshimu kazi za watu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    Mheshimiwa huwezi kuuza bidhaa ya chakula bila kupitishwa na waheshimiwa hao. Your concern is appreciated.
  7. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    Mheshimiwa hiyo jina ya sembe/dona chapa ya jajojo inayotengenenwa na jajojomills. Ushauri wako umefika kwa wahusika. jajojo@jajojo.com
  8. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    Mheshimiwa kauli gani hiyo imekukwaza? tuirekebishe mara moja! jajojo@jajojo.com
  9. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    Mkuu umenifuraisha sana, ok hii ni jukwaa la biashara na elimu, Sasa ni kitu gani kinakuzuia usielimike juu ya unga chapa ya jajojo! Elimu ni kujifunza au mwenzetu umeshafika tayari hutaki kujifunza tena! Naamini ukipata nafasi ya kusoma tutaelewana vizuri tu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    hutuna pressure mkuu! biashara ni matangazo. Sembe/Dona chapa ya jajojo katika ubora wake. www.jajojo.com jajojo@jajojo.com
  11. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    soko la sembe chapa ya Jajojo linakuwa kwa kasi kubwa, hilo halitusumbui. Bei ni makubaliano ya wahusika na eneo husika. bei ya Dar na mbeya hazifanani!
  12. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    kweli mjinga hataki kusoma! ondoa ujinga soma sites mbali mbali utajifunza vitu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    jibu la swali lako, fungua web site usome www.jajojo.com
  14. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    mkuu kitu gani kigumu hapo web iko hapo wewe fungua hiyo web site soma utaelewa tu. www.jajojo.com
  15. J

    JamiiForums Tanzania "Sembe and Dona over rated"

    Salaam wakuu! Jajajomills we want to make it simple and clear, sembe na dona safi, inatengenezwa na Jajojomills tu. Hizo zingine ni lazima uchekeche kabla ya kutumia, uchafu kibao!! yaani ni aibu!!!!!. Lakini Sembe na Dona chapa ya Jajojo, hauhitaji kuchekecha safiiiii!, ubora wa hali ya juu...
Back
Top Bottom