Recent content by Jajejijoju

  1. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakika matokeo ya weekend hii ya time kubwa ni vilio vitupu. Nashauri afisa yeyote asifanye rebet kama mkeka umechanika. Tuiache leo na kesho ipite. Tijipange kwa wekeend ijayo.
  2. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwanini bado mnazikomaa nazo? Kuwa na tahadhari sana kwa kampuni au mtu yeyote anayeficha kazi zake zisionwe na serikali.
  3. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizi kampuni za mifukoni ni utapeli mtupu, hadi benki za Tz zimejiunga direct na kampuni za betting. Kuna mjinga aja hapa kupromote kampuni ambazo haziruhusu direct deposit. Ni utapeli tu
  4. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    2025 kama unafanya deposit ya stake kupitia kwa agent wewe pia utakuwa na mjinga, kwa sababu unaisaidia kampuni husika kukwepa kodi na mkono wa serikali.
  5. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona kampuni zote umetaja ni tia maji tu. Dunia ya sasa ukiruhusu 3rd party kwa vitu ambavyo wenhine wengi wamemuondoa 3rd party basi wewe ndiyo unakuwa mjinga. Na siku ukitapeliwa usilalamike.
  6. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pia nitoe tahadhari kama kuna watu wanatumia kampuni ya sportybet wacheze kwa tahadhari, hususani ile mikeka ya kula pesa ndefu. Wamelalamikiwa nchi zingine kufuta mikeka na kuwasumbua washindi wakubwa kwenye ulipaji.
  7. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Angalau basi tuwe tunaweka matarajio ya matokeo ya mechi husika, na kuomba mawazo ya maafisa wengine pia. Zamani kwenye huu uzi ilikuwa inaleta mjadala na kutoka na chaguo la matokeo ya mechi ambalo ni bora zaidi.
  8. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pia tupunguze omba codes pekee, ndicho wengi wanafanya na hakiongezi ushirikiano miongoni mwa maafisa kwenye huu uzi.
  9. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uzi umepoa sana 2025, pia kuna wadau wachangiaji wazuri sana siku hizi siwaoni kwenye huu uzi.
  10. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi wote nimewaignore, hivyo sioni posts zao humu.
  11. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwanini bado mnatumia kampuni zinazohitaji wakala ili kuweka au kutoa pesa?
  12. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata mechi za PSV na Ajax ambazo machaguo yangu pendwa huwa ni over 2.5 goals, wikendi hii nimeishia wapa wote over 1.5 goals kwa sababu ya muenendo wa matokeo ya mechi zao za karibuni.
  13. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pia lazima uweke angalizo pia kulingana na mpinzani wa timu zako pendwa. Mfano mimi chaguo langu pendwa kwa EPL na La liga huwa ni wins kwa big teams, ila wikendi hii wapinzani wao ni tishio pia, nimeishia wapa GG - yes.
  14. Jajejijoju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zile posible options zako za kila siku kwa hizo timu hutokea kweli kwa hizi siku. Kama PSV kila mara unampa over 2.5 goals anachana, nasi kwa hizi siku ndiyo kweli huishia over 2.5 goals.
Back
Top Bottom