Mimi ni mwanafunzi wa Dar es salaam Institute of Technology mwaka wa kwanza nachukua computer engineering.
lakini kuna kitu kimoja kinanisumbua kwanini wasomi wetu hawajulikani/hawatoi mchango katika jamii yetu .Kwa mfano mtu anachukua degree ya Agriculture lakini anapomaliza anaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.