Nachomaanisha kwamba matumizi wameyaona ni kwamba mfano umeomba pesa kama allowance wakati walimu wanasahihisha mitihani na kila mwalimu anajua idadi ya scripts alizosahihisha na siku alizotumia so mnaomba jumla kuu walimu wanasahihisha na kupewa pesa zao nao wanatoa matokeo kwa namna...
Yaani mkubwa point ni kwamba retirement ulizifanya ukawasiwasilisha kwa wahusika (watu wa account) then baada ya mwaka wewe unajua uko katika mazingira salama leo unaona jina lako kwenye orodha ya watu wanaodaiwa hizo imprest na wakatika unajaribu kukusanya dondoo zinazoonesha kwamba ulifanya...
Wakuu kwanza nitangulize shukrani zangu hasa unapofikiri kunipatia msaada katika hili.
Kuna kampuni moja kubwa tu hapa kwetu ila kitu kinachosikitisha ni namna inavyohusiana na wafanyakazi wake hasa katika maslahi yao, ila kubwa ninalohitaji msaada kwenu ni kutaka kujua kwamba sheria ya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.