Recent content by Jade_

  1. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Zipo ila watu hawazipatii. Zikipikwa vizuri zinanukia.
  2. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Na unga wa dengu?
  3. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Ndio, Tanzania nzima kuna misosi. Hata wewe unaweza kujipikia bagia nzuri ukifuata maelekezo niliyotoa.
  4. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Unga wa Dengu nanunua soko la Majengo hapa Dodoma. Bei yake sikumbuki vizuri maana muda umepita. Ila Dengu sijui nadhani ukiulizia sokoni watakuelekeza.
  5. Jade_

    Upishi wa Biskuti za Tangawizi

    Si lazma, unaweza kutumia maji ya sukari.
  6. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Karibu.
  7. Jade_

    Jinsi ya kuandaa chapati za kusukuma

    Ahsante mkuu. Nitafanyia kazi.
  8. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Ahaaa nimekupata. Watu wengi wanapika bagia zinakuwa kama ugali.
  9. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Kwani zinakuwaje mpaka ziwe mbaya?
  10. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Ndio, zina harufu nzuri.
  11. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Ahsante.
  12. Jade_

    Upishi wa Biskuti za Tangawizi

    Swali zuri. Badala ya kutumia golden syrup, unaweza kuyeyusha sukari na maji kwenye moto. Golden syrup inasaidia kuleta ladha na kuongeza unyevu hasa kwenye mapishi ya vitu vya tangawizi.
  13. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Ahsante na wewe kwa kusoma.
  14. Jade_

    Upishi wa Bagia za Dengu

    Habari zenu, natumai mpo salama. Mara ya mwisho nilitengeneza white sauce na leo napika bagia za dengu. Ukitaka kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe” kwenye channel yangu na kuangalia video nyingine. Tuanze mapishi...
  15. Jade_

    Upishi wa Biskuti za Tangawizi

    Ahsante sana.
Back
Top Bottom