Mwandishi hizo Patriots Hazina mashiko kabisa!
Urusi alitangaza 19/07 atarusha drones 2,000 Kwa Siku na Tarehe 22/7 ameonyesha kiwanda Cha drones, Wanachuo mfano, (Veta Kwa Tanzania) wanafanya practical maabara. Humo zimo Decoys na Susaid drones, e.g, zikirushwa 2000 basi 1,000 ni fake au...
Subiria atakapo ishambulia Ulaya na USA ataingilia hii Vita.
What will be the results?
Germany, Poland, zitakuwa annexed by Russia. Na hapo ndipo Africa tutaheshimika sababu tuta supply chakula.
China, Urusi, Iran wanaamini sana Makombora kuliko NDEGE Vita.
Ila Magharibi yote wanaamini NDEGE Vita ndio njia Bora..
Mataifa hayo 3 Wana Idadi kubwa sana ya Makombora ya masafa marefu na mafupi. Let say, Urusi anaweza ipoga Kampara Uganda akiwa kwake. But USA mpaka afanye mobilization ya...
Bogus president! Ameshindwa kujua kuwa Putin ana ubinadamu Sana! Akija Medvedev ataichoma Ukraine yote, Kyive utakuwa na mwonekano wa Jiji la Gronze pale Chechnya 1992.
Pia atawindwa kuawawa na Watu wake wa karibu watapewa sumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.