Recent content by jacky paul

  1. J

    Kamanda wa Polisi Pwani na OCD Bagamoyo wanaingilia mgogoro wa ardhi uliopo Mahakamani

    Sisi wananchi wa eneo la Kizimkazi wilaya ya Bagamoyo kata ya Mapinga mkoa wa Pwani kero yetu ni namna ambavyo kamanda wa polisi mkoa wa Pwani anapenda kutuingilia kwenye eneo ambalo sisi na Muhindi Simba Motors tuna kesi nalo mahakama kuu. Pamoja na kesi hii kuwa mahakamani polisi wamekuwa...
Back
Top Bottom