Recent content by Jackthom

  1. J

    Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

    Tubebe lunch box kutoka nyumbani tuwaachie vyakula vyao viwachachie watatia akili. Wanaudhi sana
  2. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Haya mambo yameelezwa vizuri tu kwenye biblia lakini watu wanayapindisha kwa maslahi yao na kwa sababu waumini wengi hawasomi biblia basi wanatapeliwa kirahisi sana
  3. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Unachanganya mafundisho ya Musa na mafundisho ya agano jipya.
  4. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Watumishi wa siku hizi wanajiteua wenyewe! Ni self-proclaimed. Mambo ya hovyo tu
  5. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Wanapumbaza watu akili tu lakini wajue kuna siku watu akili zitaamka na ndiyo utakuwa mwisho wa huu utapeli
  6. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Uko serious kabisa na ulichoandika? Mtume Paulo alifanya kazi kubwa mno kueneza injili lakini alifanya kazi ya kushona mahema kupata hela ya mahitaji yake. Nani kati ya hawa wa leo wenye kupiga makelele ya kutaka kuhudumiwa kwa sadaka ana viwango vya mtume Paulo? Wanakaa tu mijini hawahangaiki...
  7. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Zaka haikuwa pesa na jinsi ilivyokuwa inatumika kuna mtu ameshaandika humu labda urudie tena kusoma Ukitaka uelewa mzuri wa maandiko yasome kwenye original tongues ( lugha mama). Hizi tafsiri nyingi ziko kimaslahi ya hao wanaotafsiri. Biblia iliandikwa kwa Kiebrania, Kiaramayo na Kigiriki...
  8. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Eti unapewa vya rohoni😆 Hadithi za kutoa fungu la kumi kila kukicha ndio vya rohoni? Utakuwa hujamuelewa vizuri mtume Paulo.
  9. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Hawa wahubiri kwa kumsingizia Mungu hawajambo!
  10. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Hubirini ukweli kwanza. Hayo mengine Mungu atawapa. You are too anxious about money na mmeacha kufundisha mafundisho mengine na kuwaacha waumini wakiwa mbumbumbu kabisa. Hawajui hata historia ya kanisa wala doctrine of faith. Kazi yenu kuhubiri kutoa tu na miujiza ya uongo.
  11. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Mbona hamtilii mkazi kuokoa roho za watu? Ni kwa sababu hazina faida binafsi kwenu. Yesu alikuja kutafuta roho za watu ila ninyi mnakuja kutafuta pesa.
  12. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Wewe ni mlawi asiyekuwa na urithi wa ardhi kwenye kabila 12 za Israel? Tutoe pesa zetu kuwategemeza watu wenye majumba, mashamba na biashara? Which biblical principle is that?
  13. J

    Watanzania wengi ni wachoyo, sadaka wanazotoa si kamili na nyingi ni za kichoyo

    Umenena vema. Hawa ni waganga njaa tu. Ingekuwa hizo pesa zinaenda kwa Mungu moja kwa moja wasingetokwa povu kukazania sadaka. Ni kwa sababu zinajaza mifuko yao.
  14. J

    Kwanini watu hawana ujasiri wa kujiuliza uhalali wa dini zao?

    Mkuu kwani hilo haliwezekani kwa kupima vinasaba ( genes)?
  15. J

    Kwanini watu hawana ujasiri wa kujiuliza uhalali wa dini zao?

    Mkuu lakini hilo ni suala la kibiolojia si suala la imani/kiroho na likihojiwa jibu litakuwa karibu tu
Back
Top Bottom