Habari zenu wasomi, jana tarehe 10 wengi wetu tulitumiwa ujumbe na tcu kwenye profile zetu unaosema , you have been provisionally selected and the program selection shall be final when the university confirms your aadmission.
Kwa tafsiri ya haraka maana yake hautakiwi kufanya tena third...
Habari zenu wasomi, naomba ushauri wenu nina mdogo wangu amemaliza form six mwaka hhuu na amepata three ya kumi na tatu, je anaweza kupata bcom au bachelor of finance udsm au ifm?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.