Recent content by Jackson chalamila

  1. J

    Bofya hapa uboreshe Elimu Tanzania

    Hebu tujaribu tuanzishe vyuo vingi vya ufundi kwa vitendo ambavyo udahili wake wa kujiunga ni kwa mtu yeyote aliyemaliza elimu ya shule ya msingi bila kujali anajua kusoma au hajui kusoma. Leo hii tumekusanya watoto wasiojua kusoma wala kuandika na kuwajaza kwenye shule za sekondari za kata...
  2. J

    Naomba ufafanuzi kutoka kwa Dr. Ndalichako na Waziri Kawambwa kuhusu matokeo kidato 4 2012

    Lazima wewe ni kawambwa au umetumwa na kawambwa, chanzo kikuu cha kufeli kwa wanafunzi ni kawambwa si Ndalichako, kumbuka majibu ya katibu wa chama cha walimu aliposema hili ndo jibu kwa serikali kupuuza madai ya walimu.
  3. J

    Statement of results

    Wadau naomba mnisaidie kidogo hapa, Je naweza kupata statement of result kutoka baraza la mtihani online?
  4. J

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Siamini kama kuna walimu huko mashuleni, hebu serikali ijaribu kuendesha shule zake kama shule binafsi zenye malengo mazuri wafanyavyo, kila mwaka mtoto avuke kidato kwa point fulani, mfano mtoto asipofikisha wastani wa 30 asivuke kidato. hii itawafanya watoto wajitume kusoma kwa kuhofia aibu ya...
Back
Top Bottom