Recent content by Jackson Abilah

  1. J

    Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

    Anzisha biashara ila kuwa Makini kwenye sehemu mbili 1. Kujali wateja wako maan hao ndyo biashara inyewe usizarau mteja 2. Punguza matumizi yasio na lazima nikiwa na maana ya kuwa.....-yaani ishi kma ulivyokiishi zamani usikuze maitaji kutokana na biashara yako kwenye matumizi ya kawaida.
Back
Top Bottom