Recent content by jackline sembo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Bofya hapa>Tusaidieni jaman tuliopata div.4 point 32 {2013}kuhusu vyuo

    mi nashangaa sana yaan mtu kaomba ushauri badala ya kumsaidia unamuona hafai'ndio kusema ww unaye ponda wenzio unaakili sana?sio vizuri hivyo
  2. J

    JamiiForums Tanzania naomba kujua wadau

    nina mdogo wangu ambaye kahitimu kidato cha nne mwaka jana na alikuwa anasoma masomo ya art kapata kama ifuatavyo kiswahili C bios D history D geography D english D civics E mathe F anaweza kwenda chuo gani ambacho ni kizuri?
  3. J

    JamiiForums Tanzania naomba kujua wadau

    nina mdogo wangu ambaye kahitimu kidato cha nne mwaka jana na alikuwa anasoma masomo ya art kapata kama ifuatavyo kiwahili C biosD history D geography D english D civics E mathe F anaweza akaenda chuo gani ambacho ni kizuri?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Walimu tusikubalia taaluma yetu kuitwa wito

    ok nashukuru
  5. J

    JamiiForums Tanzania Walimu tusikubalia taaluma yetu kuitwa wito

    naomben mnisaidie hivi mwaka huu kuingia chuo cha uwalim ni kuanzia four ya ngapi hadi ya ngapi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

    kweli?au umejibu tu ili utuongezee presure
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wadau matokeo J.mosi hii kwa wale wa Form 4

    hayo matokeo na yatoke tuone walichokipanda
Back
Top Bottom