Inaweza ikawa ni sawa lkn sio sawa pia kwasababu hata iyo 50 ya mwanamke bado anaipambania majukumu anayafanya yote kama mwanamke mi naona ni akili tu bweteka kwasababu uhakika wa kuishi upo
Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia...
Nimeoa na nina mtoto na dini yangu inaniruhusu kuoa mke mwingine kuna mwanamke nampenda sana niliwah kuwa nae kwenye mahusiano zamani ila nae alisha olewaga akapata na mtoto ila wakashindwana na mwenzie kwaiyo sasa yupo tu nataka kumuoa na uwezo wa kuwahudumia wote ninao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.