Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi.
Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali.
Mkuu nina calculator inayoweza kukupa makadirio ya kodi utakazolipa ila tatizo nimejaribu kuweka hapa naambiwa file type is not allowed. It is an excel file so if you are still interested let me know nikutumie kwa e-mail.
Thanks mkuu tatito hesabu zilinipita pembeni hiyo kitu ipo kwenye website...
Please wenye ujuzi wa uingizaji magari used toka Japan naomba msaada wenu......gharama za uingizaji tanzania huwa ngapi(approximate).....(mpaka gari linakuwa barabarani)??? mf. CIF+INSPECTION COST=2350 USD>>>>Hii ni kwa gari aina ya Ford-Fiesta la mwaka 2004, cc 1600. Natanguliza shukurani zenu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.